Sosthenes Manumbu
Member
- Aug 24, 2015
- 40
- 13
Wadau duka gani Dar es Salaam naweza pata hyo simu tofauti na inayouza tigo shop na ntaipata kwa Tsh ngap?
kuna duka lipo barabara ya samora, sijalikariri jina, linapatikana ukiwa samora anzia makutano ya samora na morogoro km ukiwa unaelekea mnara wa askari, kabla hujafika jengo la TTCL, tazama maduka yalio upande wa kushoto utakutana hilo duka, lina cm tofauti za huawei za bei uitakayo[/QUOTE]Wadau duka gani Dar es Salaam naweza pata hyo simu tofauti na inayouza tigo shop na ntaipata kwa Tsh ngap?
Dsm au MwanzaLk sehem gan?