Huawei Smartphone inauzwa

Huawei Smartphone inauzwa

Akademician

Senior Member
Joined
May 20, 2015
Posts
143
Reaction score
36
Ni Huawei Y330,
Ina siku 27 tangu inunuliwe.

Ina screen protector,
Pamoja na cover.

Ipo vizuri sana,
Na haina tatizo lolote.

Bei ni 100,000/=,
Ipo Dar.

/SIZE]
 
Mwonekano wake pichani
 

Attachments

  • 1433234154453.jpg
    1433234154453.jpg
    54.6 KB · Views: 183
Unapatikana wapi?
Tafadhari nweka picha tuione!
 
vp kuhusu uwezo wake wa kukaa na chaji?
 
Kama ukiacha data on muda wote unachaji mara 2,
ila kama unazima data kwa muda ni mara 1 kwa siku.
 
Mimi ninayopia Huawei assend y530 nauza 160,000. tatizo inamambo mengi nashindwa kutumia namba 0713424382. nakupatia list yake chager hedphone zake ni mpya kwani ina 3wiki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom