Huawei MiFi Portable Router inatumia line zote, Karibu uichukue gharama sawa na Bure!

Ctech

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
754
816
Niaje wakuu kuna mishe mishe zilinileta hapa Dar ikabidi nichukue Chumba na vitu baadhi.. This week nataka nirudi home kwahio nauza vitu vyangu.. Nimebakiwa na hii Mifi iko poa sanaa viongozi!
Mifi hii unaweza kuunganisha Devices 10 yaani ukazi hotspot!

Ni 4G

Kwa Gharama nafuu kabisa na rafiki kwako ndugu Mteja nakuachia huu Mzigo!

Yaani 80000 tu!

Nicheki kupitia!

Nambari za simu. 0787887745
Email. alfredsulle@outlook.com
 
Back
Top Bottom