mr_penguin
Member
- Jul 5, 2018
- 31
- 23
Nauza huawei L21 ina ram 2GB camera 13mpx storage 16GB ...tatizo lake ile ribbon ya glass inayo ziba camera imecrack kama inavyo onekana kwenye picha lakini camera inafanya kazi kama kawaida..napatikana dar kama upo serious nichek 0716385824....