jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,770
- 1,605
Habari wakuu, nauza simu tajwa hapo juu, imetumika kwa muda wa miezi mitatu, iko katika hali nzuri kabisa, sababu ya kuiuza ni kuwa nimepata simu nyingine,specifications zimeineshwa kwenye screen shot hapo chini, bei 200000/=
Mkuu mi nna 150k kama bado ipo nicheki inbox
Line 2?
Sha wai itumia itumia ofcoz ipo vizur.
Na pia speed ktk 3g yake coz sim nying za lain 2 huwa zinasumbua ktk net