dunia tunapita
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 356
- 61
Naombeni mnisaidie. Nina huawei y320 mpya ila haikubali internet kabisa. Nimewapigia Voda wakasema haiwezi unganishwa automaticall ila akanielekeza jinsi ya kuweka manually Settings--Mobile network ON, Roaming ON, APN- Vodacom Internet halafu nisave. Nilivyofanya kama nilivyoelekezwa ikakubali kote ila nikiclick APN hakuna chochote, pako wazi.