Hua naota nimemega hadi........ ila sijawah kuota nimeoa

kamanda, huyu jamaa lazima godoro lake litakuwa na map ya ulimwengu na capital cities zake. dah! hakyanani jamaa somo la jiografia hawez kufeli

hahaaa! hakianani siku nikiwaona wana JF fulani nisiowafaham nitacheka sana!!
 
Mara nyingi ndoto hutokana na tafsiri ya vitu unavyoviwaza mara kwa mara. Mfano siku za nyuma nilikuwa naumia sana mguu wa kulia kwa sababu nilikuwa napenda sana mpira, hivyo ninapoota napiga penaiti huwa napiga teke ukuta, Watu wengine wanapenda na wanawaza sana kula hivyo si ajabu mtu akaota anakula halafu akaamka na kujikuta ametafuna na kumeza kipande cha godoro. Kwa upande wa Kiimani ndoto kama hizo hutokana na shetani kwani shetani anapenda zinaa na hapendi ndoa. USHAURI.
1. Punguza mawazo juu ya ngono pia acha kuangalia zile site za nanihii ambazo huenda unapenda sana kuchungulia huko ndio maana unaota.

2. Kama tatizo ni hilo la pili hakikisha haulali bila kufanya maombi ya kumtaka msaada MUNGU akuepushe na shetani (Mapepo) na vituko vyake.
 
Wajameniee ndoto wote najua mwazijua au kila mtua hapa alishaota.
Me hua naota nimemega sometime Maria Roza, first lady, lizzy, miss judy, Dena Amsi n.k ila sijawahi kuota hata mara moja kua nimeoa ingawa hua nawaza pia kuhusu kuoa.

Hii niaje??

Shukuru ukimega ndotoni hupati ngoma.
 
Back
Top Bottom