HTC phones vs Samsung galaxy

Ips buildng
sizinga,
tulia kidogo mkuu, unakimbilia wapi? Posta kuna vituo kadhaa vya mafuta along azikiwe. Kuna gapco ya hapa karibu na crdb na gapco ya pale karibu na ips building.
 
Sizinga,
Tulia kidogo mkuu, unakimbilia wapi? Posta kuna vituo kadhaa vya mafuta along Azikiwe. Kuna Gapco ya hapa karibu na CRDB na Gapco ya pale karibu na IPS Building.

Ni hapo opp na ips building, duka ni samsung authorized dealer..
 
Samsung wanafanya marketing kubwa kwa ajili ya products zao; hilo tu ndilo linawafanya wauze sana, si kwamba simu zao ni nzuri sana.

HTC bado haijaingia rasmi kwenye soko la Afrika, lakini wakiingia, Samsung watapigwa chini.

HTC walifanya innovation KUBWA ya kwanza walipotoa HTC Evo 3D, ambayo ni simu ya kwanza ambayo ilikuwa na uwezo wa kupiga na kuonesha 3D images, both still pictures na video. Walitoa version nyingine pia, ambayo ni HTC Evo 3D 3G. Samsung bado kutoa simu ya 3D.

Ukizingatia ubora, uimara na specifications, HTC inaitoa knock-out wakati wote. Samsung, angalau wanajaribu na hiyo Galaxy Note II, ambayo ndiyo bora kuliko zote hizi za Android. HTC ilianza kuingia kwenye soko la Android kitambo kabla ya Samsung. Nimeshatumia simu za Android za Samsung. SI IMARA! Software zina-hang, constant re-boot, etc. HTC ina security features nyingi na nzuri zaidi. Kumbukeni, HTC ni kifupisho cha Hongkong Telecommunications Company, kampuni ya Hong Kong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…