HTC phones vs Samsung galaxy

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,445
Reaction score
8,418
Je, ni simu zipi ni nzuri kwa matumizi ya kawaida ya internet kati ya HTC na Samsung Galaxy? Simu zenye bei isiyozidi sh. laki 3. Naomba ushauri wa kitaalamu katika maeneo yafuatayo:

1. Uimara
2. Kukaa na chaji muda mrefu kidogo kwa matumizi ya kijijini.
3. Specifications zake n.k
 
Kwa hiyo hela huwez mkuu kupata.. labda ikifik laki 4 unaweza. .
 
labda ungelinganisha model zake maana htc zipo nyingi na galaxy pia za kumwaga so fafanua zaidi,ukitaka ya mkononi ongeza laki nikupe S2
 
Mi nakushauri kwa hiyo laki 3 kanunue Samsung Galaxy Fame- NI latest release ya Galaxy just announced on march 2013 halafu ni very soft touch ina kila that u require with OS 4.1.2 JerryBeam...with back n front cam with flash..aise u will real enjoy, aisee battery back-ups ni kiboko!! Go for it
 

mkuu nimesoma specs zake ipo vizuri,bei yake ni kiasi gani mkuu?
 

Asante kaka kwa ushauri.
 

kaka mm simu zisijui vizuri, jee hyo naeza applictn kama twitter, fb, instagram na whatsup? Na jee naeza kuacess email yangu na kudowload attachment za doc, excel, pdf? Nijuze mkuu.
 
mkuu nimesoma specs zake ipo vizuri,bei yake ni kiasi gani mkuu?

Mi nilinunua kwa laki 3 tu posta..!! Ingawa nilizurula sana maduka mengi inaanzia 3.4 laki
 
kaka mm simu zisijui vizuri, jee hyo naeza applictn kama twitter, fb, instagram na whatsup? Na jee naeza kuacess email yangu na kudowload attachment za doc, excel, pdf? Nijuze mkuu.

Mkuu hizo programs ina zaidi ya hizo ulizotaja...kiufupi hiyo simu haina tofauti na S4 ukiacha internal memory na RAM..yani una-expirience ule utamu wa S4, biliv me hutajuta...ina mpaka video call aisee!! Real amaizng with cheap brice/budgeted smartphone!! Go for it
 
c
Kuna duka moja linaitwa Beborita MobilePhone and Accessorries, Linatazama/Opposite na ile Petrol Station pale, sorry for late reply!!

Sizinga,
Tulia kidogo mkuu, unakimbilia wapi? Posta kuna vituo kadhaa vya mafuta along Azikiwe. Kuna Gapco ya hapa karibu na CRDB na Gapco ya pale karibu na IPS Building.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…