Tatizo za hizo simu ni spear zake hazipatikani, me nilikua na htc moja hv nikapoteza ule mfuniko wa nyuma wa netwk kila fundi ananiambia hawezi pata uo mfuniko mpaka leo cm nimepark ndani