htc is needed

htc is needed

tumlack

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
675
Reaction score
49
Natafuta HtC disire s..mwenye nayo aweke bei...
 
nina htc sensation xl. brand new kwene box. 500,000.
 
IPO HTC desire s 160k IPO Kwenye hali nzuri na vifaa vyake vyote . 0686 846613
 
HTC sensation XL. 4.7 inch screen, 8mp camera, 16Gb internal memory. 2 pieces available

htc-sensation-xl-with-beats-3v-20110929-htc-senxl.jpg
 
ninayo HTC desire A8181 ni used iko katka hali nzur kama unahitaji 2fanye bness nipe 280,000
 
bei nimeshataja hapo juu mkuu. 500,000.
choji hebu niambie una simu hiyo hiyo ya HTC XL JE HTC BUTTERFLY UNAWEZA KUWA NAYO? NA ITASIMAMI KILO NGAPI,KA UNAYO PICHA MUHIMU
 
Last edited by a moderator:
kwasasa ninazo hizo tu mkuu. htc butterfly sina na sijajua ni ipi hasa unayotaka maana ziko butterfly tofauti tofauti. ila nimecheki bei zake haitapungua kwenye 800,000 - 1m.
 
MKuu htc one s unayo ?? kama huna madukani inatembea mia ngapi??
 
HTC ONE XL , 490000/- in very mint condition.... 0688 06 10 10 for all the details u need chek me
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom