Wakuu simu tajwa hapo juu ndio ninayotumia toka mwaka jana, mwanzo ilikuwa ina operate vizuri ina reboot automatically na kujiwasha. Baadae ikawa ina reboot lakini haijiwashi. Sasa wiki ya pili inanipa alert kuwa system update is availabe lakini nikibonyeza hiyo button ili ni update system, inaniambia "Your SD card is not available to store the software update bcoz it is mounted in read only mode, you may reboot your phone".
Ila sijafanya setting yoyote ya kuifanya memory card iwe mounted, nisaidieni wajuzi wa haya mambo.