Kila simu na ubora wake,kila mtu na chaguo lake.Serious buyers are there for serious sellers....800k napata samsung note 5.
Kila simu na ubora wake,kila mtu na chaguo lake.
Kuna watu huwaambii kitu kuhusu HTC.
Kama hununui kitu ni bora kukaa kimya kuliko kuharibu biashara za watu kwa kujidai much know.
Samahani lakini [emoji12][emoji126][emoji126]
Kuuuuumbe?Mimi ndio maana sihami Samsung.HTC zina camera nzuri sana ila sasa zikianza kupata joto ni kama mtu anaumwa malaria
Okay okayNingekuwa sinunui ningekaa kimya...ila nimeongea kwa sababu nanunua shosti..
Mkuu HTC gani uliyotumia ww ilikuwa na tatizo gani? Namshukuru Mwenyezi Mungu natumia HTC kwa zaidi ya miaka mitatu version tofauti tofauti bado tatizo hiloHTC zina camera nzuri sana ila sasa zikianza kupata joto ni kama mtu anaumwa malaria
Mkuu HTC gani uliyotumia ww ilikuwa na tatizo gani? Namshukuru Mwenyezi Mungu natumia HTC kwa zaidi ya miaka mitatu version tofauti tofauti bado tatizo hilo