Manyanza bin Slot nimtafutie kazi ya kufagia ofisiJUNIOR HR OFFICER
Location: Dar es Salaam
Gross Salary: TZS 1,600,000 per month
We are seeking a competent and motivated Junior HR Officer to join our team in Dar es Salaam.
Minimum Requirements:
- Bachelor’s Degree in Human Resource Management or a related field.
- Minimum of 3 years’ proven experience working in Human Resources.
- Strong knowledge of HR processes and employment practices.
- Excellent communication, organizational, and interpersonal skills.
- Experience in the logistics sector will be an added advantage.
How to Apply:
Interested candidates should send their CV only, clearly indicating “Junior HR Officer” in the email subject line, to neema@tensventures.com.
Application Deadline: 11 July 2026.
Only shortlisted candidates will be contacted.
Baada ya kututapeli😂Nimetuma tu hiyo taarifa nimeiona kwenye group la whatsapp
Slot anakula bata Ibiza huko halafu anavaa vinjunga tu baada ya kuchuma ela za FSG
Picha haikubali ku attach
Bro hakuna jina la kampuni na hio gross salary ngoja nikae kimya mimiJUNIOR HR OFFICER
Location: Dar es Salaam
Gross Salary: TZS 1,600,000 per month
We are seeking a competent and motivated Junior HR Officer to join our team in Dar es Salaam.
Minimum Requirements:
- Bachelor’s Degree in Human Resource Management or a related field.
- Minimum of 3 years’ proven experience working in Human Resources.
- Strong knowledge of HR processes and employment practices.
- Excellent communication, organizational, and interpersonal skills.
- Experience in the logistics sector will be an added advantage.
How to Apply:
Interested candidates should send their CV only, clearly indicating “Junior HR Officer” in the email subject line, to neema@tensventures.com.
Application Deadline: 11 July 2026.
Only shortlisted candidates will be contacted.
Punguza mashakaBro hakuna jina la kampuni na hio gross salary ngoja nikae kimya mimi
Ukifika hapo ukiombwa usije ukalud na nyuz mbili mbili humuPunguza mashaka
Kama huna kazi omba
As long as ni Bure kuomba we omba tu
Basi acha wenye uhitaji wataombaUkifika hapo ukiombwa usije ukalud na nyuz mbili mbili humu
Mapaja yote nje nje aibu naona mimi
Kama una vigezo jaribuBro hakuna jina la kampuni na hio gross salary ngoja nikae kimya mimi
Mungu akijaalia nikawa manager mke wangu hawi secretary.Kama una vigezo jaribu
Nakupa ushuhuda.
Baada ya kumaliza chuo na mkataba we kazi kwenye NGO fulani nikawa nipo nawatafuta Wazee wenye makampuni yao na Wakurugenzi wa Mabenki kuwaomba kama kuna connection za kazi lakini hakuna nilipofanikiwa.
Kuna jamaa akaniambia kuna kazi ya Stationary mjini vipi upo tayari? Nilijiuliza na kujifikiria sana baada ya siku 3 jamaa akanifuata tena. Hatimaye siku iliyofuata nilienda pale Stationary.
Hapakuwa na kazi ila ikawa kutumwa tu maana kulikuwa na Secretary pale , yule Secretary akaniuliuza umesomea nini ? Nikamwambia nimesomea IT na yeye akaniambia Mume wake ni IT Manager Kilimanjaro Hotel Kempsink .
Hapo hapo akaniunganisha na mume wake nikawa napiga mishe za nje na nikagain experience ya kutosha na jamaa akaniunganisha sehemu nzuri. Ofisi ilikuwa na tender kwenye Taasisi na Wizara za serikali na mahotel, NGO, Mashirika ya UN na Taasisi nyingi.
Usiogope hatua moja ndio mwanzo wa safari yako
Hahaha, InshaAllah, uwe na macho ya kuona fursa sio kutegemea ajiraWabheja sana Manyanza View attachment 3625226
Macho ninayo ila kianzio ndio sina!😀Hahaha, InshaAllah, uwe na macho ya kuona fursa sio kutegemea ajira
Sawa, wazo linaletaje pesa?Kianzio ni wazo kwanza, hapa ninaandika wazo fulani kila mara huwa nalijazia... Wazo ndio huleta pesa.