Hp655 for sale

Hp655 for sale

Jah bless

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
277
Reaction score
462
15.6-inch LED back-lit HD display (1366 x 768 pixel)
Full-size keyboard
Multi-Touch Touchpad
AMD Dual-Core Processor (1.7 GHz or 1.4 GHz)
AMD Radeon HD Graphics
Os-Windows8
2Gb Ram, 320Gb HDD.
Bei laki 6
Ipo kwenye hali nzuri kama inavyoonekana.
Piga 0714843190 tufanye biashara.
Nipo Dar.
 
Bila kusahau nimeitumia kwa muda wa siku 15 tangu niipate. Na haina tatizo lolote.
 
Kwa hiyo bei utakayo haitawezekana. Ongea kibiashara zaidi tuafikiane. Hii laptop bado mpya.

Sijakataa, najua ni mpya. Sina balance ya kwenda zaidi ya hapo....ingekuwa hiyo bei ningechukua hata leo. Zaidi ya hapo tufanye labda siku nyingine.
 
Sijakataa, najua ni mpya. Sina balance ya kwenda zaidi ya hapo....ingekuwa hiyo bei ningechukua hata leo. Zaidi ya hapo tufanye labda siku nyingine.
okay haina tatizo.
 
dual core 300 HDD laki saba? Aisee ww unautani mm corei5 Dell imetumika 14 days ina 4GB RAM 500 GB hard disk 2.5GHZ nauza laki tano na nusu!duh we umetisha
 
Hiyo bei ni kuwaweka attention msiogope, biashara maelewano wadau.
 
Hiyo bei ni kukuweka attention usiogope, biashara maelewano mdau.
 
dual core 300 HDD laki saba? Aisee ww unautani mm corei5 Dell imetumika 14 days ina 4GB RAM 500 GB hard disk 2.5GHZ nauza laki tano na nusu!duh we umetisha

Mkuu kuna 3.5 hata kesho unipe mzigo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
nop 5.5 mwsho mzgo mkAl sana we jah blesaa rekebsha tangazo hutauza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom