K karibukwetusingida JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 290 Reaction score 138 May 29, 2017 #1 Naombeni msaada wakuu nina printer tajwa kila nikiprint haiprint inaleta error hii"supply memory"lakini pia kuna wakati inatafuta karatasi,shida inaweza kuwa nin wakuu na solutions yake nini. chief-mkwawa ymollel
Naombeni msaada wakuu nina printer tajwa kila nikiprint haiprint inaleta error hii"supply memory"lakini pia kuna wakati inatafuta karatasi,shida inaweza kuwa nin wakuu na solutions yake nini. chief-mkwawa ymollel