Hp laser jet 1320 drivers

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Wakuu naomba kama kuna mtu anayo driver softwere ya hii photocopy machine aina ya HP LASERJET 1320 au link ambayo naweza pata driver zake naomba anisaidie nimefomat computer nikataka kurudishia drive ya photocopy machine kumbe cd niliisahau mahali na nimeifuatili sikuipata.​
 

Siku zote ukihitaji "madereva" kimbilio la kwanza ni tovuti ya watengenzaji wa kifaa . So Nenda kwenye Official website ya HP kama hii japo hujasema unatumia OS gani . Nenda kwenye sehemu ya dowload drivers na utachagua unachotaka kulingana na model ya kifaa na aina ya OS.
 


mambo yote YAPO HAPA chagua windows unayo tumia pakua tu
 

Mkuu hiyo ni photocopy au Printer?
 
All in all iwe printer au photocopy, google tu "Download photocopy/printer drivers HP laserjet 1320 " then click I'm feeling lucky, there you are. Have a nice weekend
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…