olaice kitunga
Member
- Jan 30, 2013
- 90
- 23
Hello ndugu zangu habari! !
naomba msaada wa kujulishwa jinsi ya kuset laptop yangu nikichomeka headphone sauti ibaki kwenye headphone peke yake sababu sasaivi nikichomeka sauti inakuwepo pande zote kwenye spika za laptop na kwenye headphone ni HP i3 natumia window 10. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app