mwalex mwale
Member
- Nov 15, 2017
- 26
- 1
Nina omba msaada nataka niweke line(SIM-CARD) ktk Laptop yang(hp probook 6470b)
Naomba anaefaham anielekeze naiweka sehem gani?
Naomba anaefaham anielekeze naiweka sehem gani?
Ulitakiwa kui activate na kama drivers zipo sawa basi ingesoma au ingekuhitaji u install driversNgoja waje...
Mm nilikua na dell ilikua na sehemu ya kueka laini, but ilikua haisomi
Kama haina slot ya sim card,tumia modem hasa za huawei zinakuwezesha kupiga na kupokea simu na smsNina omba msaada nataka niweke line(SIM-CARD) ktk Laptop yang(hp probook 6470b)
Naomba anaefaham anielekeze naiweka sehem gani?
![]()
![]()
Nmefungua kuna sehem wameandka sim card lakn akuna tundu au cjui ndo kutielewaFungua battery utaona sehemu ya sim card , ina fanana na chip za mobile phone
Huku ktk betri wameandka ilaa cjaona pakuekaKama haina slot ya sim card,tumia modem hasa za huawei zinakuwezesha kupiga na kupokea simu na sms
Patoboe na moto hapo walipo andika kisha iweke kwenye hicho kitobo ulichotoboa itapendeza.Huku ktk betri wameandka ilaa cjaona pakueka
I want to use Hp notebook SIM card slot for accessing the in... - HP Support Forum - 615171Huku ktk betri wameandka ilaa cjaona pakueka
Patoboe na moto hapo walipo andika kisha iweke kwenye hicho kitobo ulichotoboa itapendeza.