Ubuntuwize
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 312
- 93
Wakuu salama?
Ama baada ya salamu, ningependa kwenda moja kwa moja katika mada husika.
Nina laptop nimeinunua march this year as refublished, naiuza na haina tatizo lolote, ni kua nimepata nyingine free from my working office.
AINA; HP ELITEBOOK 8460 P
RAM; 4GB (DDR3)
PROCESSOR; 2.5GHZ
INTEL CORE I5
HARD DISC;320
Bei nitauza kwa 330,000/= Tshs ila kuna mazungumzo kama unauhitaji
Mahali napatikana Dar es salaam, Kwa alie tayari anicheck pm tutamaliza.
Ahsante