HP Blackscreen of death

HP Blackscreen of death

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Habari wana JF,

Msaada wenu nina laptop mbili HP Probook zote zinaleta kioo cheusi na fan inakimbia kwa speed sana wakati power button, wireless na caps key zina blink.

Nimejaribu kubadili RAM zimegoma, Nime unplug battery na kwenda nazo direct zimegoma..

Ushauri wenu wataalamu...

Nawasilisha.
 
Zinaleta kioo cheusi vp mkuu? Hakionyeshi au?
Hp ProBook Kama ni inchi ni zile za nchi 14 zinatumia RAM aina ya PC3L hivo ukiweka PC3 haiwezi fanya chochote zaidi ya hivohivo lakin kujua zaidi Kama tatizo ni RAM au lah unapoisha angalia caps lock Kama ina blink tafuta RAM sahihi ya hizo machine PC3L.

PC3L na PC3 hazitofautian pengo lilipo lakin hivo zinaingiliana ila machine yenyewe ndo inatabia ya kuchagua.
 
Habari wana JF,

Msaada wenu nina laptop mbili HP Probook zote zinaleta kioo cheusi na fan inakimbia kwa speed sana wakati power button, wireless na caps key zina blink.

Nimejaribu kubadili RAM zimegoma, Nime unplug battery na kwenda nazo direct zimegoma..

Ushauri wenu wataalamu...

Nawasilisha.
Nyongeza iwashe machine yako bila RAM then angalia inawaka tofauti na vile ukiweka RAM?
 
Inakuwa the same kama RAM zikiwepo, fan inazunguka then kioo cheusi tu...
 
Back
Top Bottom