Ok mkuu Nimekuelewa, Ni Scania ngapi umeshaona ziko juu ya mawe na Howo ngapi umeshaziona ziko juu ya mawe ?
SCANIA :JUU YA MAWE NYINGI
HOWO : JUU YA MAWE HAMNA KABISA .
MKUU ELEWA IT IS IMPOSSIBLE KUNUNUA KICHWA CHA SCANIA MPYA
LAKINI UWEZO WA KUNUNUA KICHWA CHA HOWO UPO KABISA NA UNAPATA WARRANTY MIAKA 4 ,SCANIA USED MKUU HAINA WARRANTY IKIFA NA KWISHA HABARI YAKO ,WARRANTY MIAKA 4 SI UMESHARUDISHA HELA YAKO MAN .Ni wazo tuu .
nakubaliana na wewe 1200%, kwa mazingira ya Tanzania na nchi washirika katika biashara ya usafirishaji, SCANIA is everything, ingekuwa tunamilima mingi mikubwa , then Benzi(Actros. Axor) tungesema, lakin, kwa sababu hatuko hivyo, Scania anabaki kuwa the King of the Road,ACHA KUFANANISHA SCANIA NA VITU VYA KIJINGA!
Well done new comer endelea kuwahi seat.Nimewahi siti tu
Ni kweli chief...Watu hawajui kuwa pamoja na howo kuwa rahisi lakini haiwezi kurudisha gharama kabla haijaanza tabu
Mkuu kuna jamaa alipost uzi humu ni agent wa hizi mambo Utafute kisha wasiliana nae.Kwa anayejua Agent wa hizi Howo za kichina HOWO please anijulishe .Awe Dar please huyo Ajent. View attachment 767027
Mie nilikuwa nadhani Scania ndio Baba lao kumbe kuna Volvoscania ndio truck ya pili qa kua na nguvu na bora ikiwa nyuma ya volvo ss unafananisha takataka howo na scania...
Hello Great Thinkers.
Naomba kuuliza hivi hizi Tractor za kuvuta trailers Ni ipi bora zaidi kati ya hizi za kichina HOWO na Scania ,Ndio Naomba mungu mwaka huu ninunue kichwa kimoja kati ya hizi mbili ,ndio naanza hii biashara GT.Thanks a lot you guys.
Reference Number:17183073842Make:SCANIAModel:TRACTOR UNIT 6X2 - P / R SERIESBody Type:TRACTORYear of Manufacture:2005Country:EUROPEFuel Type😀IESELEngine Capacity:2501 CC & ABOVECustoms Value CIF (USD):11,621.00Import Duty (USD):1,162.10Excise Duty (USD):0.00Excise Duty due to Age (USD):3,834.93VAT (USD):3,078.73Custom Processing Fee (USD):69.73Railway Dev Levy (USD):174.32Total Import Taxes (USD):8,319.80Total Import Taxes (TSHS):18,911,150.40Vehicle Registration Fee (TSHS):550,000.00TOTAL TAXES (TSHS):19,461,150.40Hello Great Thinkers.
Naomba kuuliza hivi hizi Tractor za kuvuta trailers Ni ipi bora zaidi kati ya hizi za kichina HOWO na Scania ,Ndio Naomba mungu mwaka huu ninunue kichwa kimoja kati ya hizi mbili ,ndio naanza hii biashara GT.Thanks a lot you guys.
Huo hapo juu Ni ushuru wa TRA WA KULIPIA KICHWA CHA SCANIAReference Number:17183073842Make:SCANIAModel:TRACTOR UNIT 6X2 - P / R SERIESBody Type:TRACTORYear of Manufacture:2005Country:EUROPEFuel Type😀IESELEngine Capacity:2501 CC & ABOVECustoms Value CIF (USD):11,621.00Import Duty (USD):1,162.10Excise Duty (USD):0.00Excise Duty due to Age (USD):3,834.93VAT (USD):3,078.73Custom Processing Fee (USD):69.73Railway Dev Levy (USD):174.32Total Import Taxes (USD):8,319.80Total Import Taxes (TSHS):18,911,150.40Vehicle Registration Fee (TSHS):550,000.00TOTAL TAXES (TSHS):19,461,150.40
Ndio hiyo scania GTHuo hapo juu Ni ushuru wa TRA WA KULIPIA KICHWA CHA SCANIA
Nakupa tu uzoefu, Scania inachemka kupanda Zambezi wakati HOWO inapanda kama mchezo. Sijui wewe unatakaje . Scania ina maisha marefu zaidi na bei almost mara 2 ya HOWO
Mkuu upo USA NINI NIMEONA UMETAJA CHEVROLETNunua gari kulingana na uwezo wako kuwa makini katika matumizi yake ila kuwa na mipango ya kununua gari yenye ubora zaidi baadaye ( scania , Volvo , Benz , Chevrolet truck )
Ndiyo jimbo la Detroit nipo karibu.Mkuu upo USA NINI NIMEONA UMETAJA CHEVROLET
Ok mkuu baridi imeshapungua man ,Ndiyo jimbo la Detroit nipo karibu.