How to transfer picture kutoka kwenye desktop computer ambayo Haina hdmi into led tv?

bface

Senior Member
Dec 22, 2010
128
19
Naomba Msaada coz nna cable ya VGA to hdmi bt haioneshi picture y? Natumia samsang led tv ila nikiconnect haioneshi chochote tatizo ni nn?
 
Jaribu kuangalia input method katika TV yako kama iko kwenye PC input
 
Jaribu kuangalia input method katika TV yako kama iko kwenye PC input

this answer is beautiful...nakumbuka zaman mtu ananunua betri za national kabla hajatoa seal yake anaweka kwenye radio....teh teh teh........anarudisha dukan akifoka. unabandua ile seal unamwambia rudi iweke tena....kitu pwani
 
Hiyo cable yako ni original,kama ni ya machinga hupati kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom