teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Mkuu unasikitishaKu root ndio nini
Jamani kumbe watu hawajui mambo mengi eehHuko kurooti ndo kufanyeje hii tekinolojia sijui nasikiasikia tu nipeni maujanja nami mtaan wanione inginia maana wengi wanajua wasapu tuu
Hebu nielekeze jinsi ya ku unlock bootloader tafadhaliJe ushawahi kuroot simu yoyote??
C9 inamambo mengi kuiroot lazima uwe pro.
Lazima u unlock bootloader
Ndo uroot simu
tena mengi sana, hapo ni kwenye simu tu je computer itakuwaje?Jamani kumbe watu hawajui mambo mengi eeh
Sidhani kama Tecno C9 inahitaji unlock [emoji356] Bootloader kwa kuwa yenyewe ni SIM FREE. Unlock [emoji356] Bootloader ni kwa zile simu ambazo zimekuja na mitandao toka kiwandani kwa mfano simu za TiGO au Vodacom ambazo zimetengenezwa maalum kwa mitandao hiyo.Je ushawahi kuroot simu yoyote??
C9 inamambo mengi kuiroot lazima uwe pro.
Lazima u unlock bootloader
Ndo uroot simu
Kaka umeenda chaka hebu jaribu kugoogle maana ya bootloader poa.simpy it does work kama bios kwenye computer hope u got meSidhani kama Tecno C9 inahitaji unlock [emoji356] Bootloader kwa kuwa yenyewe ni SIM FREE. Unlock [emoji356] Bootloader ni kwa zile simu ambazo zimekuja na mitandao toka kiwandani kwa mfano simu za TiGO au Vodacom ambazo zimetengenezwa maalum kwa mitandao hiyo.