Poleni kwa Kazi wana Teck
Bila kupoteza muda ,nimekuwa nikisoma baadhi ya topic kuhusiana na kuroot hizi simu za android na nimeamua na mimi niiroot simu yangu.
Naomba msaada kwa mtu anayejua app nzuri ya kuroot android. Simu yangu ni sumsang mini galaxy. Asanteni sana wakuu.