Hiyo ni ya kutupa mjomba hakuna solution nyingine
Mkuu issue sio tu format, ni kwamba hiyo kadi imeharibika na haifai tena. Jaribu kuangalia ukubwa wa memory yake utagundua imebaki na MB zisizozidi 10. Kwa hilo tatizo nakuhakikishia hakuna solution.inaweza rekebishwa kwa sababu hiyo ndiyo original format ambayo card hutengenezwa nayo kiwandani, sema huwa wanamrahisishia mtumiaji kwa kui-format kwenda FAT 32 au zinginezo. kuna recover softwares ambazo sio bure, I wan't a cheaper method to do that or a known free software
Mkuu issue sio tu format, ni kwamba hiyo kadi imeharibika na haifai tena. Jaribu kuangalia ukubwa wa memory yake utagundua imebaki na MB zisizozidi 10. Kwa hilo tatizo nakuhakikishia hakuna solution.
Hi Tech giants, hope you are doing well.
I've a 14GB memory card that I've been using in my Android phone, but it got corrupted after the phone crashed down. It changed it's format from the normally readable one (was FAT32) to a raw, Windows unrecognizable format (RAW).
Now I've tried so many ways including various soft wares but they could not solve the problem. The normal Windows formatting system can't work at all as I always receive the message "Windows was unable to complete the format". I got a suggestion to release the write-protect switch, but that couldn't help either.
My concern is, is there any Windows running free software that can help me repair my card? Or any suitable method?
Thanks in advance for your valuable contribution.
Inawezekana ku recover data zako kwenye hiyo disk..then baada ya kupata data zako utai format hiyo disk then utazirudisha...i've done it more than once..sio kweli kwamba disk imeharibika.