hauwezi kufuta cmos kwa kutoa battery kwenye laptops, cmos ipo kwenye permanent storage.
Unamaanisha unapata password ya bios pia? Au ile ile ya hd? Kama ni ya bios hiyo inaweza kupatikana, inaweza kuwa calculated kwa kuangalia service tag sticker kwenye hiyo laptop. Bandika service tag hapa au jaribu hizi mwenyewe
dogbert's blog: Bios password backdoors in laptops