Duh ! samahani sana kwa delay. PC yangu ililiwa na mdudu anaitwa WIN32:VITRO karibu wiki yote taabu.
hebu soma vizuri hapa chini.
STEP 1
Install modem yako kama kawaida
STEP 2
Install mobile partner yoyote latest(Haswa ile ya kwenye Zantel modem EC122)
STEP 3
chomoa na kuchomeka modem yako ya vodacom ya HILINK e303 ili ifungue browser yenyewe
STEP 4
browser ikifunguka ,
pale kwenye URL weka hii
http://192.168.1.1/html/switchProjectMode.html
na computer itasema "FOUND NEW HARDWARE"
STEP 5
Nenda C:\Program Files\Mobile Partner\Driver\Driver\X86
hapo nimechukulia kwamba WINDOWS yako ipo kwenye drive C na unatumia 32Bit os
kama windows yako ipo kwenye location nyingine , basi wewe tafuta location ya folder la
MOBILE partner na ulifungue ndani hadi kwenye folder la driver na ufungue ndani ya folder hilo
la driver tena.
Tafuta file linaloitwa ewser2k.inf na ulifungue kwa notepad
STEP 6
Katika hilo file la ewser2k.inf ulilofungua , tafuta sehemu imeandikwa [QcomSerialPort]
shuka chini kidogo ya hapo. tafuta mstari ufuatao.
%QcomDevice01% = QportInstall01, USB\VID_12d1&PID_143E&MI_02
na chini ya mstari huo paste hizi line mbili hapa
%QcomDevice01% = QportInstall01, USB\VID_12d1&PID_1442&MI_00
%QcomDevice00% = QportInstall00, USB\VID_12d1&PID_1442&MI_01
SAVE AND CLOSE na baadae itaonekana hivi:
.
.
.
%QcomDevice01% = QportInstall01, USB\VID_12d1&PID_143E&MI_02
%QcomDevice01% = QportInstall01, USB\VID_12d1&PID_1442&MI_00
%QcomDevice00% = QportInstall00, USB\VID_12d1&PID_1442&MI_01
%QcomDevice01% = QportInstall01, USB\VID_12d1&PID_1448&MI_01
.
.
.
.
hapo kuna mistari mingine mingi sana sijaionesha.iache kama ilivyo.
STEP 7.
NENDA DEVICE MANAGER. right click huawei hilink yenye alama ya njano, and UPDATE driver
manually select location ya driver C:\Program Files\Mobile Partner\Driver\Driver\X86
CLICK OK. rudia hivyo tena kama itadai.
STEP 8
Fungua firmware loader(updater) then follow the few steps za ku-Update firmware and dashboard
Link ya fimware pamoja na mobile partner ipo hapo chini.
You Are Done!!!!
File 1:
File Name: Huawei_Mobile_Partner_23_for_windows_7_8_vista_xp.zip
File Size: 24.2 MB
Download Link:
Download Huawei_Mobile_Partner_23_for_windows_7_8_vista_xp.zip from Sendspace.com - send big files the easy way
File 2:
File Name: E303HiLink11.010.06.02.910.exe
File Size: 13 MB
Download Link:
Download E303HiLink11.010.06.02.910.exe from Sendspace.com - send big files the easy way
To download the files, simply click on the download links.