Habari yenu wakuu, bila kupoteza muda naomba kwenda moja kwa moja kwenye lengo la kuanzisha uzi huu, naomba sana ushauri wenu kuliko kejeli na kunicheka, maana kiukweli napitia kipindi kigumu sana, baada ya mchumba wangu au mke wangu mtarajiwa, kuniambia kitu ambacho kimeniumiza sana katika moyo...