:confused2::confused2::confused2: Say it again hivi mbona jana wakati tumekaa Zero Pub wakati Eliza anakuhudumia zile Ndovu baridi ulikuwa umeyaficha hayo maneno by the way ulilala nyumbani maana jana shemeji yangu kanipigia simu mida ya saa 8 ulikuwa haujafika i hope ulienda kutimiza masharti na ukarudi nyumbani kama sheria hizi hapa chini zinavyosema.
INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu
INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).
Hahahah mwe... Nyie watu jamani! Msitake kutupotezea mwanachama wetu!
apologies smiles
unajua uliposema wewe sio girl basi nikajua wewe ni meni ndio maana nikatoa mwaliko wa ku-go fishing (in short fishing na infii ni synonymous)... samahani sana, nisamehe saba mara sabini, sirudii tena na ukinisamehe mungu atakuzidishia mara mia elfu lela u lela
by the way are you a dude or she?
Kweli kabisa...
Wanahitaji maombi zaidi!!
thanks u Smiles, u r so intelligent, pamoja upinzani we CAN..no longer Infidelity au siyo?!
Pamoja...pamoja! We rock...!!!
Afu we uliendaga wapi..? PM kibao nimekutumia no response...
Inabidi tupange mikakati thabiti ya hiki chama chetu!!
Shssss taratibu soma hii sheria hapa chini
2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)
Ameshasajiliwa ISC...PM zako zote tunazihakiki kwanza viongozi waandamizi ndo tunampa access ya kuziangalia.....endapo tu....😛layball:
Abomination??:confused2:Tatizo lako ni kwamba unajua kabisa u don't belong chama tawala lakini bado tu unang'ang'ania...
Au unamuogopa Kaizer...?
Big brother is watching!!Oh I get the picture...
Cha kushangaza ni kwamba ametoka kunijibu sasa hv...
Na kikao kinaendelea...taarifa unazo??
Ok sawa...
Hakikisha unaomba ruhusa kwa viongozi wako wote!!
Na kamati yetu nzima itakuwepo...ikiongozwa na MasterMind!
U can handle it...right??!!!
Tatizo lako ni kwamba unajua kabisa u don't belong chama tawala lakini bado tu unang'ang'ania...
Au unamuogopa Kaizer...?
nani ata-authorize...? :confused2:
Oh kwenye chama chetu we do everythn together...
Kama nyinyi mnavyoshare... :becky::becky: