Another good way inayoweza kukupaa total control ya avatar animation yako ni kutumia Adobe Photoshop
Ukiwa na image zako tatu , nne , tano au idaidi yeyote unaweza kuzi customise Kisha kwenye menu kuna option ya window. ndani ya option ya widow kun suboption ya Animation. Ukichagua hiyo unaweza kuamua frame za image zako ziwe anaimated vipi. na transition na muda kutoka frame moja kwenda nyingine
Baada ya hapo una save file lako la photoshop lakini unachagua option ya save for web devices na kwenye type of file unachagua GIF.( format hii ndio Recomeded for avatar and web media animation)