How To Identify Legit Work At Home Business.

my best ptc site of all time which pay more than NEOBUX per ad is here !!!


 

Attachments

  • 468x60.png
    4.5 KB · Views: 44
Asante kamanda kwa uzi huu,wengine ndio umetufungua kwenye hii dunia.

Nimeweza kujiregister kwenye NeoBu na Paypal,lakini nashindwa ku link MasterCard yangu na paypal akaunti yangu,tatizo ni credit card verification number,wanasema n 3 to 4 digits,kila nikijaribu kuweka 4 digits za mbele inagoma,nikiweka the last three digits za nyuma inagoma,naomba mnisaidie,ni namba zipi unabidi uweke kama verifacation namba kwa kutumia master card za crdb.

Nawasilisha.
 
asanteni kwa kutufungua macho katika mambo haya ya kimaendeleo,mimi didnt know these things,nawashukuru sana...sas kwa sisi tusio na hiyo paypal account tunafanyaye?does that mean siwez kujiunga au what shud I do kupata such ac ili niweze kua member pia??thx...
 

Kibode,
Kwanza am sorry kwa kutoijibu post yako kwa wakati coz' i was busy na mambo mengine ya kimaisha. Kuhusu ku-link Credit Card yako na Paypal account ni kwamba, verification code haipatikani kwenye hiyo card. Wakati una-link card yako na paypal, utakatwa $1.95 ambayo itakuwa refunded later. Wanakata hiyo $1.95 ili ku-verify kwamba una bank account. Wakishakata hiyo $ 1.95, nenda kaombe bank statement to ur nearest branch unless kama una huduma ya e-statement. Ukicheki kwenye statement yako, utakuta Debit ya sh.3000 na senti kadhaa (equivalent to $ 1.95). Aidha, ukiangalia kwenye debit utakuta transaction details na hapo utakuta number yenye 4 digits. Hiyo number ndio verification code unayotakiwa kuitumia.
NB: Nyuma ya card yako, utakuta 4 digits.....hizo ni security codes ambazo utazitumia wakati wa kufungua paypal account.
 
Having a paypal account is not the big issue....ikiwa una bank account na banker wako anatoa visa/master cardthen u can have paypal account ambayo inaweza kukusaidia kufanya hata online shopping. Hata hivyo, kabla hujaangahika na hiyo paypal akaunti, anza kwanza kujiunga hapa: http://www.neobux.com/?rh=4E617344617A . Paypal account haitakuwa na msaada kwa sasa hadi hapo utakapokuwa member wa hiyo link kwa at least 15 days.
 
Mkuu mimi nina shida jinsi gani naweza kufungua paypal au payza kwny verification huwa nashindwa mkuu naomba msaada wako
 
Aalafu naomba kuuliza account ya benki ninayo exim na stanbic pia hii bank statement naweza ipata ht km cjafanya miala ya kuweka na kuchukua zaid ya mara mbili
 
Mkuu, soreee...nlikua naomb kukuuliza kua so kama mtu anajiunga haina haja ya kukimbilia kwanza kufungua akaunt benk ama paypal...ajiunge kwanza then zipite hizo siku 15 na uwe umepitia matangazo zaid ya 100 ..au nimekosea naomb ufafanuzi..binafs nna akaunt benk ya crdb..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…