July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
hello just press volume up + power button but dont press all along at the same time....Wakuu nimejaribu kila njia.. Volume up +power button, volume up+home +power, home button +power button nimeshindwa.. Mwenye maujanja zaidi msaada tafadhal
Thankshello just press volume up + power button but dont press all along at the same time....
do like this turn your phone off...then press volume up and hold it then press power button and hold both 2 buttons...
hope it will work!
Thanks
Kwa maana kwamba imekubali au?!!
Ninge upload flash tool kwaajili ya hiyo simu pamoja na maelekezo ila naona uzi wenyewe ni wa kitambo sana.Itel hazina Recovery mode. Download Flash Tool on ua PC. then search Google for recovery image of ua particular model...Be careful its tricky
Ninge upload flash tool kwaajili ya hiyo simu pamoja na maelekezo ila naona uzi wenyewe ni wa kitambo sana.
Kama kuna muhitaji nitampandishia
MAHITAJI:-Tupia tuu huwa uzi unarudi juu na wengi hatujawahi fanikiwa kwa hiyo brand
Tayari nimerekebisha link mkuuView attachment 278808
where is the file bro
Mkuu hizo Simu kuingia Recovery mode utakesha.jaribu hii
Mchango aliotoa SPYMATE ndiyo suluhisho mkuu.hata mm nimejalibu kila njia nimeshindwaaa..