LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 655
Pole sana... achana nazo fanya mambo mengine...
Kua mtu wa kuupuzia mambo yaache yapite...
Hii nimeipenda sana, japo utekelezaji wake siyo rahisi kama wew siyo wa hivyo. Niliwahi kuwa na stress kama MB 400 hivi, nikasema wacha nipige gambe mpaka stesss zote ziishe. Pombe ilipoisha kichwani nilijikuta nina stress 1 GB na MB 100 sawa na MB 1124. Gambe siyo suluhishoKipi cha kufanya... Jaribu kua na dharau, hutakaa uwe na stress... badala yake utawapa watu stress...
Mkitoka nje utakuta zinakusubiri tena zimeji tripleKama vyote umejaribu havijasaidia tafuta malaya mkali mjifungie nae Lodge siku 3
Dharau ni suluhisho pekee la kutokua au kupatwa na stress kabisa...Hii nimeipenda sana, japo utekelezaji wake siyo rahisi kama wew siyo wa hivyo. Niliwahi kuwa na stress kama MB 400 hivi, nikasema wacha nipige gambe mpaka stesss zote ziishe. Pombe ilipoisha kichwani nilijikuta nina stress 1 GB na MB 100 sawa na MB 1124. Gambe siyo suluhisho
Asante mkuuDharau ni suluhisho pekee la kutokua au kupatwa na stress kabisa...
Kila jambo unanichukulia poa na kirahisirahisi...
Angalizo: utasababishia wengine stress...
Matcha unapatikana wapiTumia Matcha, ni unga wa green tea. ukitumia unasaidia sana kufanya akili i relax
Pia kufanya mazoezi husaidia kupunguza stress maana unauchosha mwili na kufanya mawazo yahame.
Vyakula vinavyosaidia kuondoa stress ni kuku, ice cream na chocolate.
Pia unyumba husaidia kuondoa stress
N kweli mkuuHii nimeipenda sana, japo utekelezaji wake siyo rahisi kama wew siyo wa hivyo. Niliwahi kuwa na stress kama MB 400 hivi, nikasema wacha nipige gambe mpaka stesss zote ziishe. Pombe ilipoisha kichwani nilijikuta nina stress 1 GB na MB 100 sawa na MB 1124. Gambe siyo suluhisho
0672557221 Anauza
Asante sana mkuu wangu,,,nmebarikiwa sana kusoma andiko lako siku ya leo,,,Mkuu workshop , pole sana kwa changamoto zozote unazopitia katika maisha. Ni kweli kwamba binadamu tuna vipindi tofauti vya maisha, kuna wakati wa raha na wakati wa shida.
Shida inayozungumziwa hapa sio uchumi na pesa peke yake. Kuna shida nyingi, kuachana na mpenzi wako, kupoteza mtu wa karibu kwa kifo, kuumia, maradhi, usaliti, dhulma na kadhalika.
Hivyo basi, binadamu pia tumepewa uwezo tofauti tofauti wa kuhandle stress zetu. Kwa ujumla, unatakiwa ukubaliane na hali na uache natural healing process itokee. Natamani sana ningejua the actual source of the pain or stress you are going through ili nikakupa maelezo yaliyo specific na hali unayopitia.
Mkuu kumbuka, hata usiku uwe mrefu vipi, patakucha tu. Hizo stress hazikai na wewe milele, zitaondoka tu na utakua mwenye furaha tena. Jiepushe na kufanya makosa zaidi kama kuvuta ganja, au pombe na vitu vya namna hiyo. You should be emotionally intelligent to handle all the negative energies throwing to your life.
Be okay man. You are so special, and you can do it.