Malaika AD
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 496
- 316
Ww huna xperience?!
Shusha nondo mkuu
Ha ha hanyie si mnadate vidume visivyo na future kisa sharobaro anaweka hereni sikio lazima ufue jeans hadi ukome
Ndoa sio suala rahisi kama udhaniavyo, inahitajika kujipanga...kwa hiyo ukiona watu wanakwepakwepa ujue Hawajajipanga
Wanakuja kushtuka too late.Weng wanashindwa kusoma alama za nyakati,