How to flash a spreadtrum android device

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,

Nina android device yangu ( citycall mobile 930I) ambayo in a run kwenye SPD chip. tatizo nikwamba kuna some upgrades nilijaribu kufanya sasa kwa bahat process ikawa unsuccessful kitendo kilichopelekea simu kujizima na ukiiwasha haiboot mpaka mwisho inajizima.

Ukiweka kwenye chaj inaonesha INA charge tu vizuri.

Naomba mwongozo wakuu jins ya kutroubleshoot hili tatizo.
 
Kama una volcano box ni rahisi sana ila naamini kuna tools ambazo ni cracked unaweza tumia ku apdate ngoja wataalamu wafike.
 
kama una volcano box ni rahisi sana ila naamini kuna tools ambazo ni cracked unaweza tumia ku apdate ngoja wataalamu wafike.
shukrani mkuu, vp kuhusu hhardware requirements maana apps kama hzo hua zinahtaj vtu kama dongle etc.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…