David franco
Member
- Jun 28, 2013
- 27
- 3
Jaman naombeni mnisaidie namna ya kudownload window 10 mpka sasa bado nmereserve tu bt cjui namna ya kuipata
Mimi nishapakua ila inanidai key wakati wa kuinstall fresh copy.ingia kwenye website ya microsoft unadownload version unayotaka kwa kutumia DOWNLOAD TOOL ya microsoft . ukisha download image yote unaweza kuBurn au kuInstal moja kwa moja.
kwa kutumia hiyo image unaweza ku Upgrade computer yako yenye win7 au 8.0 au 8.1 bila kupoteza settings wala files
ingia kwenye website ya microsoft unadownload version unayotaka kwa kutumia DOWNLOAD TOOL ya microsoft . ukisha download image yote unaweza kuBurn au kuInstal moja kwa moja.
kwa kutumia hiyo image unaweza ku Upgrade computer yako yenye win7 au 8.0 au 8.1 bila kupoteza settings wala files
Haitahitaji key?ingia kwenye website ya microsoft unadownload version unayotaka kwa kutumia DOWNLOAD TOOL ya microsoft . ukisha download image yote unaweza kuBurn au kuInstal moja kwa moja.
kwa kutumia hiyo image unaweza ku Upgrade computer yako yenye win7 au 8.0 au 8.1 bila kupoteza settings wala files
Ni kudownload kutoka kwenye torrent sites au tafuta mwana JF aliyepo karibu na wewe akupe imageMsaada kwa yeyote anaejua jinsi ya ku-download window 10 Pro full activation
Ukigusa hapa mzigo unashuka kama unabando ya 4+ gbJaman naombeni mnisaidie namna ya kudownload window 10 mpka sasa bado nmereserve tu bt cjui namna ya kuipata