meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
wadau tusichakane!habu naomba haka kaujuzi kwani kuna presentation nataka kufanya

mkuu...ukisha fungua hilo file na microsoft word nenda click file then save as ..hapo ndo unachagua format ya kusevia..iwe pdf au yoyote uitakayo

Je kompyu yako ina Adobe reader?ukiwa na Adobe reader utasoma docs zozote ilizo kwa PDFBila shaka hatutachekwa! kwa anayejua atusaidie pia na namna ya kubadili PDF kuwa word.Kwani binafsi imekuwa ikiniwia vigumu sana katika compyuta yangu inapofika kwamba natakiwa kufungua pdf file,huwa hayafunguki kabisa na sijajua tatizo litakuwa nini.Tafadhari wana JF(mnaojua) mtusaidie
Je kompyu yako ina Adobe reader?ukiwa na Adobe reader utasoma docs zozote ilizo kwa PDF