How to change 32 bit to 64 bit

How to change 32 bit to 64 bit

mike318

Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
50
Reaction score
2
Naomba hivi laptop ikiwa 32bit operating system ukitaka iwe 64bit inakuaje?au mpaka uinstall windows ya 64bit nini?
 
Naomba hivi laptop ikiwa 32bit operating system ukitaka iwe 64bit inakuaje?au mpaka uinstall windows ya 64bit nini?

32bit ni processor ya computer, kwa hiyo kama unataka 64bit then ununue mashine nyingine ambayo processor yake ni 64bit.

Unaweza install 32bit OS kwenye mashine ambayo ni 64bit, lakini huwezi install 64bit OS kwenye mashine ambayo ni 32bit.. Kwa hiyo ili kujua kama processor yako initially ni 32/64bit chukua jina la hiyo processor itupie google utapata majibu. Kama ni 32bit then sahau, there's nothing u can do, kama ni 64bit then fanya kama ulivosema, install 64bit operating system kwenye hiyo mashine.
 
Hizo "bit" zinasaidia nini ktk ufanyaji kazi wa mashine?
 
Hizo "bit" zinasaidia nini ktk ufanyaji kazi wa mashine?
Hiyo inaonyesha idadi ya data kwenye njia inayosafirishwa kutoka sehemu moja hadi nyingine kwenye mashine. Namba kubwa ndo data nyingi zaidi kwa wakati mmoja. Hufananishwa na barabara inayopitisha magari mawili kwenda upande mmoja, tungeiita 2 bit road.
 
Back
Top Bottom