SAM nicheck
Member
- Oct 25, 2012
- 56
- 13
tafuta domain na bei yake na hela nitakununulia. fungua na account yako kabisa godaddy ila pia password yako ya godaddy nitaijua kama unaweza kutake hio risk
nina blog yenye jina NYIMBO ZA KRISTO sasa hapa nataka iwe inaitwa nyimbozakristo.com je inawezekana nikaipata na bei yake inaweza range ngapi?
huwa kikawaida ni around dola 10 (kama 20,000 hivi) ila kwa offer unaweza ipata hadi dola (buku 2 tu) unaishi wapi?
kwa sasa nipo morogoro baada ya uchaguzi ntakuwepo DAR,huwa kikawaida ni around dola 10 (kama 20,000 hivi) ila kwa offer unaweza ipata hadi dola (buku 2 tu) unaishi wapi?
kwa sasa nipo morogoro baada ya uchaguzi ntakuwepo DAR,