How to Android development

How to Android development

Evarm

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Posts
2,000
Reaction score
1,559
Habari wandugu,

Jamani natafuta sehemu ambayo naweza kujifunza jinsi ya kutengeneza android apps. Yaani napenda sana kuwa android developer. Hadi sasa nimejifunza C, C++, Java, HTML5, na CSS3. Sasa hv nataka kujifunza kwa undani zaidi kuhusu android kwa ajili ya kutengeneza apps mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuniambia wapi naweza kujifunza, au kujiunga nao nikasome kwani nataka baadaye nijiajiri mwenyewe tu mtaani, na sio kuajiriwa. Hata km mkinipa ushauri wa jinsi ya kuanza nitashukuru sana.
 
Ingia phonegap.com utajifunza kutengeneza apps kwa ku2mia HTML5,CSS,JAVA na PHP
 
siko powa sana kwenye hii kitu, ila Tafuta application inaitwa XAMARIN pia tembelea website yao kwa maelezo
 
Last edited by a moderator:
Also, these staffs real need practise. You've to remind your self frequently.
 
Back
Top Bottom