Wazo zuri sana na umefunguka ipasavyo,nikweli hii huduma wa Nigeria wapo advanced sana.Natatizo kubwa la hapa kwetu emails nyingi zinakuja kama Junk mails.
Sasa mtu hawezi kusoma baadala yake ana delete zote na ujumbe kuwa haujafika.
Sasa wewe zako zipoje.Maana nina experience ya haya majunk mails kwa watu wanao serve TZ.
Then weka email yako