President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,755
- 89,780
Pwahahaha!!! Moto umekuchoma kwenye makalioWewe ni mujinga sana. Wewe tingisha kichwa uone kama ubongo bado iko. Ninakuambia kuwa UK haina rasilimali ya dhahabu halafu wewe unaenda kunigooglia gold reserves? Hivi wewe hujui kuwa hizo gold zimetoka Africa au Peru au nchi nyingine? Wazungu wamenunua dhahabu from the market na kuifungia kwenye kabati. Hio ndio inaitwa gold reserve. Unaenda sokoni na kununua dhahabu na kuifungia kwenye central bank vault. Hio ndio inaitwa gold reserve. Bantugbro alikuwa anazungumzia kuhusu dhahabu iliyo ardhini. Nikamueleza kuwa hata UK na Europa hawana hio dhahabu iliyo ardhini halafu ukakimbia kuniletea gold reserves. Wacha ujinga.
Ubongo wako upon kwenye kiuno.Wewe ni mujinga sana. Wewe tingisha kichwa uone kama ubongo bado iko. Ninakuambia kuwa UK haina rasilimali ya dhahabu halafu wewe unaenda kunigooglia gold reserves? Hivi wewe hujui kuwa hizo gold zimetoka Africa au Peru au nchi nyingine? Wazungu wamenunua dhahabu from the market na kuifungia kwenye kabati. Hio ndio inaitwa gold reserve. Unaenda sokoni na kununua dhahabu na kuifungia kwenye central bank vault. Hio ndio inaitwa gold reserve. Bantugbro alikuwa anazungumzia kuhusu dhahabu iliyo ardhini. Nikamueleza kuwa hata UK na Europa hawana hio dhahabu iliyo ardhini halafu ukakimbia kuniletea gold reserves. Wacha ujinga.
I don't argue with poor peopleAccording to you
Are you sure, hao central banks zao wame-accumulate dhahabu/bulluons za karibia nchi zote duniani, acha diamonds na madini mengine yote huishia kwao, sasa ndio hutumia hizo ku stabikuse their currencies na economies. Aisee kumbe hujui uchumi wa dunia unaendeshwa vipi.Switzerland, Germany, Belgium, UK hazina rasilimali yoyote kama dhahabu, diamond e.t.c. Kwa hivyo kulingana na wewe hizo nchi ni masikini kwa sababu hazina rasilimali?
Sasa wewe unaweza kunifunza nini kuhusu uchumi? Tulikuwa tunaargue kuhusu rasilimali zilizo ardhini lakini sasa umeamua kubadilisha gear angani. Okay wacha debate iishe.Are you sure, hao central banks zao wame-accumulate dhahabu/bulluons za karibia nchi zote duniani, acha diamonds na madini mengine yote huishia kwao, sasa ndio hutumia hizo ku stabikuse their currencies na economies. Aisee kumbe hujui uchumi wa dunia unaendeshwa vipi.
Hebu muwe mnachakata vizuri hizo bongo zenu, maana hamieleweki.Weka taarifa ya 2020 mumekomea na history sana
Hii hapa ya 2020 kuhusu Tanzania, mume ipiku Ethiopia ambao waliongoza East Africa region kwa muda mrefu naona wanapata nafuu.
View attachment 1631484
Fun Fact:
Kenya has the third biggest economy in Sub-Saharan Africa after Nigeria and South Africa.
Ndio kawaida ya kingereza kuendelea kuwatesa Watanzania, few know the meaning of "Sub-Saharan Africa"
Nimesema Sub-Saharan Africa!!!
Kwani hujui kusoma Geza? Kwani Egypt, Morocco na Algeria zipo Sub-Saharan Africa? Usichukie Kenya sana hivyo mzee wetu.
Let me put you two on some game.Bango gani na Mbongo mwenzako Geza Ulole hajui maana ya Sub-Saharan Africa. MK254 alikuwa tu anamfahamisha Geza maana ya neno Sub-Saharan Africa.
Let me put you two on some game.
The term sub Saharan, is racist to its core but you're not smart enough to understand its connotation. Those who coined the term understood that in order to keep the narrative, "Africa is a dark continent", they'd to separate some of its history from its people.
When Europeans keep telling the whole world that Africans didn't contribute anything to civilization but then you have big ass pyramids (from Sudan to Egypt) telling to their face that they're damn liars, they'd to come up with something.
To solve this ambiguity, they invented the term Sub Saharan. And for you two to cherish that stupidity, it makes me sick to my stomach.
Keyboard rich. 🤣 🤣 🤣I don't argue with poor people
I already know the history of that term. It is a widely used term so it doesn't matter what we feel about it, people are already using it.Let me put you two on some game.
The term sub Saharan, is racist to its core but it seams you're not smart enough to understand its connotation. Those who coined the term understood that in order to keep the narrative, "Africa is a dark continent", they'd to separate some of its history from its people.
When Europeans keep telling the whole world that Africans didn't contribute anything to civilization but then you have big ass pyramids (from Sudan to Egypt) telling to their face that they're damn liars, they'd to come up with something.
To solve this ambiguity, they invented the term Sub Saharan. And for you two to cherish that stupidity, it makes me sick to my stomach. There is only one Africa, and by any means, we are not sub of anything. Now if you guys don't know the meaning of "sub", then we have a much bigger problem.
Sasa kwa watu weusi Kenya ni ya tatu.
Izo pesa wanamiliki mbona hazireflect kwa banks zenu ama wanaziweka chini ya godoroThe only fan fact is Tanzania has larger numbers of millionaires than the rest of East Africa combined....how about that