kwanini umeanza na hili mkuu dah!..
Palichafuka sana sikuhiyo!, ilisikika mirindimo ya chuma cha mzungu kikiwa kimekamatwa vyema na jitu lililoamua kuwafanyia unyama wa wazi!, jitu lenye miraba minne lilisikika likisema "sina shida na raia ninashida na polisi"...😅