mawazo kama haya bado kuna gap kubwa kati ya kuyakubali au kuyakataa.kuwepo kwa hiyo hotel na kutokuwepo kwa hiyo hotel nini bora?kipi chenye faida?
hivi nikifungua biashara lets say guest, bar,lodge,hotel au kiwanda natakiwa nimfahamishe mbunge au mkuu wa wilaya?
Kama wanalipa TRA na Kunakuwepo na ajira kwa Vijana Jirani pale mimi Kwangu Hakuna shida!!kuwepo kwa hiyo hotel na kutokuwepo kwa hiyo hotel nini bora?kipi chenye faida?