How our dear President Kikwete is Viewed outside TZ! ( A must read story)

Kwa hiyo mmekubali kusemewa na wazungu kwa sababu tu ya kiingereza, Mzungu hata akitukana mzazi wako kwa kiingereza nyie mnaunga mkono tu. Hivi mnafikiri itatokea wazungu watawasifia nyie wamatumbi kwamba mmefanya vizuri na hivi maraisi wao ndio wako safi na wanavyoua watu wasio na hatia ni poa kwa kuwa wao wazungu.

Watu wote waseme hata waingereza? hivi hawajui ni kiasi gani wametunyonya na wao kutajirika kwa huu ulimbikeni wenu wa kukenua hawa jamaa wanavyowatusi.

Hata kama JK anamapungufu lakini sio hizi post zenu za kihuni na zisizo na adabu hata kwa watu wenu hivi msaada ya wazungu mnsahau nyie ndio mnaowapelekea taarifa wasitoe misaada kwa ndugu zenu? Hivi nyie wamatumbi mnaweza kununulia ARV watu wote waliokuwa tested +ve bila kick kutoka kwa mabepari. Rada na Escow mbona zote Britons wametajwa katika kuuza na bank yao haikuguswa.

Kujizalilisha huku sio tu kwamba mnatusi JK tu hata na nyinyi wenyewe mmo na wazazi wenu pia.

Mkuu nakuunga mkono..wanaweza kujadili wapendavyo juu ya kodi zao lakini si kututukana, twende huku twende kule JK ana madhaifu mengi lakini hilo halimpi mamlaka yeyote ambaye si mtanzania kumtukana.
 
Richard Brunwick
Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic African leaders of our times. He is a peacetime leader for a country known to be one of the richest in the world in terms of natural resources, yet he leades the world with begging.

SOURCE:
https://www.facebook.com/permalink.php?story_fbid=291722454223016&id=296750897049799

I feel sleepy but no way I could sleep without commenting on this marvelous and truth worth topic. at least tzans are seen how stupid we are to place this ape in state house. non visionary and looter. God forsake us for our stupidity.

..pathetic leader
..peacetime leader
..ape
..looter
duu watu wanaua!!
By the way I was about to explain something on this issue in connection with the escrow account when I came across those phrases and found myself speechless.
Enjoy the night, bye bye.

cc: meddie of JF
meeku of JF
 
Last edited by a moderator:
JK, ZItto na wengine watali cost sana taifa hadi wakubali kuwa kuonekana kwao mapema kivitendo na kitabia kungeweza tumika kwa usahihi kbisa kuthibitisha kuwa hawawezi.Na walioweka wazi si kwamba wana chuki ila akili zao ,misisimko yao ndio imewafanya wajiaminishe kuwa wanawez sana na bila wao hakuna kinafanyika.
 
Vipi mlevi boy ulikua wapi?? Halafu eti naskia mwanakondoo elton john kaolewa juzi kati eti ni kweli?
 
Nicholas, my fellow jf member, I think you are being too cynical. What if we allow time for them to excel? Perhaps they could deliver much. What's your view?
 
Last edited by a moderator:
Wrote kwenye kustahili kulipa kodi tukilipa na kusimamia matumizi hatuhitaji misaada ya MTU yeyote. Tunahitaji mtu kama Dr Slaa kwa miaka mitano tu afute ufisadi na kuturejeshea maadili ya viongozi Wa umma na ya wafanya biashara wakubwa ambao hawalipi kodi kikamilifu.
 
Nicholas, my fellow jf member, I think you are being too cynical. What if we allow time for them to excel? Perhaps they could deliver much. What's your view?
Haha....Ktk nchi km yetu ambayo uhuru unaanza kuwa bidhaa adimu uhuru aliopewa ni zaidi ya wengine,sasa kuto Excel kwao hakuwekza kuwatena burden kwa wengine ila their misuse of opportunities.Wakati wengine wanasema ONLY ONE CHANCE IS WHAT I NEED.JK NA ZITTO WANALIA FOR INFINITY CHANCES to accomplish a single successful things.The rest chances are wasted with additional blames to the true victims.The Tanzanians. Hivi Nafasi gani unahitaji zaidi ya JK kuwa Rais...Zitto kuwa katibu mkuu wa Chama kikubwa na chenye mafanikio cha upinzani ,Nafasi za bunge na Exposure mbalimbali?.I think we are training more zombies in this country.These Zombies are going to be used against us as obstacles ,and loob backs in our path to success.
 
Last edited by a moderator:
Vipi mlevi boy ulikua wapi?? Halafu eti naskia mwanakondoo elton john kaolewa juzi kati eti ni kweli?
Sikujua km Elton km ni mwanakondoo...Najua ni mwimbaji mwenye tabia zinazoendana na za marehemu Omari Copa.Vipi ,ulihudhuria , nasikia huwa mnapendana sana na mpp mstari wa mbele sana kupromote matukio yenu mnayo yaita Landmark events.
 
Kwa hiyo mmekubali kusemewa na wazungu kwa sababu tu ya kiingereza, Mzungu hata akitukana mzazi wako kwa kiingereza nyie mnaunga mkono tu. Hivi mnafikiri itatokea wazungu watawasifia nyie wamatumbi kwamba mmefanya vizuri na hivi maraisi wao ndio wako safi na wanavyoua watu wasio na hatia ni poa kwa kuwa wao wazungu.

Watu wote waseme hata waingereza? hivi hawajui ni kiasi gani wametunyonya na wao kutajirika kwa huu ulimbikeni wenu wa kukenua hawa jamaa wanavyowatusi.

Hata kama JK anamapungufu lakini sio hizi post zenu za kihuni na zisizo na adabu hata kwa watu wenu hivi msaada ya wazungu mnsahau nyie ndio mnaowapelekea taarifa wasitoe misaada kwa ndugu zenu? Hivi nyie wamatumbi mnaweza kununulia ARV watu wote waliokuwa tested +ve bila kick kutoka kwa mabepari. Rada na Escow mbona zote Britons wametajwa katika kuuza na bank yao haikuguswa.

Kujizalilisha huku sio tu kwamba mnatusi JK tu hata na nyinyi wenyewe mmo na wazazi wenu pia.

Hakuna kitu kibaya kama utumwa wa fikra! Huyo mtumwa aliyeleta hii post na wanaomshangilia hawajui hata ABC ya kujitegemea.
Kuna wakati nchi yetu, chini ya MUSA (Mzee Mchonga), iligomea mashart ya IMF na nchi kwa kamuda kadogo tu tukukaonja joto la jiwe! Sabuni zikawa magwanji, nguo zikawa 'kaunguza', madawa ya kujinunulia kwa walanguzi, viatu vya magurudumu, DONA CHUNGU KWA FOLENI............ kwa ujumla hali haikuwa nzuri. Lakini kwa uzalendo na mapenzi ya viongozi wetu tuliendelea kuimba miimbo ya kiana mapinduzi!
HII DEMOKRASIA ISITUFANYE TUKAKOSA UZALENDO KIASI HICHO, INAWEZA IKAELEMEWA NA KUZAA MAJANGA!

Kwa hiyo mmekubali kusemewa na wazungu kwa sababu tu ya kiingereza, Mzungu hata akitukana mzazi wako kwa kiingereza nyie mnaunga mkono tu. Hivi mnafikiri itatokea wazungu watawasifia nyie wamatumbi kwamba mmefanya vizuri na hivi maraisi wao ndio wako safi na wanavyoua watu wasio na hatia ni poa kwa kuwa wao wazungu. Watu wote waseme hata waingereza? hivi hawajui ni kiasi gani wametunyonya na wao kutajirika kwa huu ulimbikeni wenu wa kukenua hawa jamaa wanavyowatusi. Hata kama JK anamapungufu lakini sio hizi post zenu za kihuni na zisizo na adabu hata kwa watu wenu hivi msaada ya wazungu mnsahau nyie ndio mnaowapelekea taarifa wasitoe misaada kwa ndugu zenu? Hivi nyie wamatumbi mnaweza kununulia ARV watu wote waliokuwa tested +ve bila kick kutoka kwa mabepari. Rada na Escow mbona zote Britons wametajwa katika kuuza na bank yao haikuguswa. Kujizalilisha huku sio tu kwamba mnatusi JK tu hata na nyinyi wenyewe mmo na wazazi wenu pia.
Kwa sababu JK andio alikuwa akjitetea kuwa safari zake kwenda kwao zilikuwa ni kwenda omba hela nchi na zina faida.JK aliamini san akwenda kwao kuna faida,na kwenda ktk mikutano yao kuomba kunaleta heshima na kubwa kwake na kwa taifa.
 
Haha....Ktk nchi km yetu ambayo uhuru unaanza kuwa bidhaa adimu uhuru aliopewa ni zaidi ya wengine,sasa kuto Excel kwao hakuwekza kuwatena burden kwa wengine ila their misuse of opportunities.Wakati wengine wanasema ONLY ONE CHANCE IS WHAT I NEED.JK NA ZITTO WANALIA FOR INFINITY CHANCES to accomplish a single successful things.The rest chances are wasted with additional blames to the true victims.The Tanzanians. Hivi Nafasi gani unahitaji zaidi ya JK kuwa Rais...Zitto kuwa katibu mkuu wa Chama kikubwa na chenye mafanikio cha upinzani ,Nafasi za bunge na Exposure mbalimbali?.I think we are training more zombies in this country.These Zombies are going to be used against us as obstacles ,and loob backs in our path to success.

Oh I see!
But again I am still puzzled why a person like jk cannot act on the parliament resolution accordingly while he is vested with all powers of doing the same! Mr zito, to my way of thinking, is still wandering about may be for the sake of public sympathy? I am not aware of what is happening in this country of ours having voted for a man who is full of stories and smiles since he came to power in 2005.
 
Oh I see! But again I am still puzzled why a person like jk cannot act on the parliament resolution accordingly while he is vested with all powers of doing the same! Mr zito, to my way of thinking, is still wandering about may be for the sake of public sympathy? I am not aware of what is happening in this country of ours having voted for a man who is full of stories and smiles since he came to power in 2005.
If you could follow the last parliamentary sessions you could obvious see what was certain.CCM was in the side of the story They were scheming,forcing, tricking adamant just to get a way round to bring just a "sense of president can have another fact finding commitee". We all know that our president was in full command on what was going on with CCM side in the parliament.The mama passed out.JK has never stop amazed me of miss calculation under short sighted visions.
 
Kwa style ya CCM kufuata fikra za mwenyekiti JK atakuwa na wakati mgumu sana kuwa na useful defenders.Wakati maendeleo ya nchi yakipaa na makos aya JK yakiwekwa wazi sababua wanayotumia dhidi ya TIMU MKAPA kuwa makosa yanayotokea ni yao na mafanikio ni ya JK ,Watapata shida kuzigeuza.
 
Jamaa sio visionary...

Kwake yeye urais ilikuwa ni sehemu ya ujiko tu kuwa nami nishawahi kuwa kiongozi wa nchi...

Kimsingi hilo lipo karibu kwa watu wengi wautakao urais, hakuna wenye maono na nchi hii...

Kama mwanamke wa siku hizi anakwambia anaolewa kuosha nyota hata akiachika baada ya 1sec after ndoa haina shida
 
Tuacheni ushabiki. Wazungu hao hawajatutukana, bali wanatuambia ukweli. je kuna kitu chochote walichosema ambacho si cha kweli hapo kuhusu Kikwete, Tz na Watz?
 
Kwa hiyo mmekubali kusemewa na wazungu kwa sababu tu ya kiingereza, Mzungu hata akitukana mzazi wako kwa kiingereza nyie mnaunga mkono tu. Hivi mnafikiri itatokea wazungu watawasifia nyie wamatumbi kwamba mmefanya vizuri na hivi maraisi wao ndio wako safi na wanavyoua watu wasio na hatia ni poa kwa kuwa wao wazungu.

Watu wote waseme hata waingereza? hivi hawajui ni kiasi gani wametunyonya na wao kutajirika kwa huu ulimbikeni wenu wa kukenua hawa jamaa wanavyowatusi.

Hata kama JK anamapungufu lakini sio hizi post zenu za kihuni na zisizo na adabu hata kwa watu wenu hivi msaada ya wazungu mnsahau nyie ndio mnaowapelekea taarifa wasitoe misaada kwa ndugu zenu? Hivi nyie wamatumbi mnaweza kununulia ARV watu wote waliokuwa tested +ve bila kick kutoka kwa mabepari. Rada na Escow mbona zote Britons wametajwa katika kuuza na bank yao haikuguswa.

Kujizalilisha huku sio tu kwamba mnatusi JK tu hata na nyinyi wenyewe mmo na wazazi wenu pia.

Bora ukae kimya maana utapata aibu,, unagusia rada mkuu!???
Si hawa wazungu wameturudishia chenji huku sisi tukiwa tunakana!!!..
 
Do hii lugha ni kali sana..... jamani Kikwete tupambame tuweze kujitosheleza kwenye bajeti yetu, haya matusi ya wazungu hayatakuwepo... After all vihela vyenyewe wanavyo tupa kiduchu tu.... hivi kweli JK hebu fumba macho na ujiulize, je Tz haiwezi tengeneza 11Bi $ per year kweli na kuondokana na huu utumwa na matusi, je huwezi ondoa undugu na kurithishana madaraka kama jamaa alivo sema? Watch out hatutaki kuingia kwenye vita plz....

Watatengenezaje 11b usd na wakati .. Watu matajiri wakubwa wanauziana hisa kwa kudanganya ili kodi stahiki isikatwa AG yeye anasema capacity charge hazikatwi kodi sijui hizo ni sheria Za nchi gani .poor tanzania
 
Back
Top Bottom