How Mbowe Hotels fixed NHC

Homa ya ukuta ilifanya kila sekta kutafuta kidonge cha kuituliza/kuififisha.
 
Tukianza kufuatilia chain la mafisadi hapa nchini wanasiasa wengi wataguswa tu
 
Kuwa mwanasiasa mpinzani nchi hii kuna gharama zake.

Mbowe ni millionaire, kwa hili watajuwana wenyewe na Serikali, halina maslahi kwa umma.

Mkuu umeongea machache lakini yana uzito, naamini kuna coment umezi-reserve nyingi tu.
 
Mh. Mbowe ni muongo wa karne. Hivi alivyosema ni siasa alitaka aonewe huruma?? Je anataka wananchi waandamane kwa ajili ya hotel?
Mbowe ni taperi hasa, we jiulize gazeti ,mbowe hotels company kodi ya jengo hawalipi,.CHAMA kinapokea ruzuku zaidi ya milioni mia tatu, lkn hata chama hakina kiwanja! Alafu anataka tumpe nchi kweli!
 
Hili swala limeharibu reputation ya mdaiwa.
 
The matter is right now in court. It is the court not politicians which will give us justice. I do not trust politicians especially from the rulling party.
 

I have clearly read the whole story.

Nevertheless, I haven't seen anywhere that, the second part i.e NHC went to the court of law to ask for the termination of agreement they signed against MHL!!

So, where does NHC got the power to terminate the contract/agreement without the consultation of the second part?

Who was the mediator of thsese disagreements between NHC & MHL? What did they agree?

However, the dispute is now in the court of law. So it's much better to wait and see who is actually right about this!!
 
Ndugu msitoe hukumu mapema Mbowe anayo madai ya msingi kabisa na NHC wanayo madai ya msingi, ukweli uko wapi? bahati nzuri suala limefikishwa mahakamani ni matumaini yetu haki inapatikana, vinginevyo tutakuwa tubapiga siasa.
 
Ndugu msitoe hukumu mapema Mbowe anayo madai ya msingi kabisa na NHC wanayo madai ya msingi, ukweli uko wapi? bahati nzuri suala limefikishwa mahakamani ni matumaini yetu haki inapatikana, vinginevyo tutakuwa tubapiga siasa.
Hivi kama kusoma hujui hata picha huioni? Haya mahaba niue yanatufedhehesha na kutufanya tuwe vipofu na viziwi.
 
DJ, the astute businessman. Nchi hii inaliwa na wenye meno.
Kumbe Mbowe na Lowassa long time kitambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…