Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,328
- 7,396
Tulia wewe ajuza usinikatie mauno ya kizamani hapa kamfanyie babuKa mkoa kenyewe hata kikombe hakajai nenda kaangalie ramani ya nchi yako ndio uta salute walio wengi walio down to earth wasio kuwa na coraption na wema wai unajulikana na ndio maana mungu kawapa madini yote yenye thamanj ktk aridhi yao
Watu unafikiri wengi huenda kufanya uhalifu online kama wewe?Watu huenda kuangalia mfano matokeo ya mitihani ,kujaza fomu mbalbali online za visa,ajira ,kuagiza bidhaa nje au kusafirisha,mafomu ya biashara,nk nk Internet cafe zitaendelea tu kuwepo.Usidhani kila MTU hutumia internet cafe kuwasiliana na mange kimambi watu wanazitumia responsibly wewe ndio utakomaUPUUZI, HATA HIZO INTERNET CAFE CHACHE ZILIZOBAKI ZITAFUNGWA, MAANA HAKUNA MTU ANAENDA HUKO.... NI NANI ANAWASHAURI HAWA?
Watu unafikiri wengi huenda kufanya uhalifu online kama wewe?Watu huenda kuangalia mfano matokeo ya mitihani ,kujaza fomu mbalbali online za visa,ajira ,kuagiza bidhaa nje au kusafirisha,mafomu ya biashara,nk nk Internet cafe zitaendelea tu kuwepo.Usidhani kila MTU hutumia internet cafe kuwasiliana na mange kimambi watu wanazitumia responsibly wewe ndio utakoma
Ah wapi, tutabanana hapa hapa hadi hiyo mizigo ya ujinga muitue! Nchi yetu sote.Hama uende kunako kufaa
Uhuru ukizidi mipaka unakuwa uhayawani, mambo myatake wenyewe mkipatiwa mnalalamika, kwani hujui kama kutukana ni kosa la jinai? unapokaa nyuma ya kibodi na kuanza kutukana tena kumtukana mkuu wa nchi ilhali ukielewa wazi kwamba unachofanya ni jinai ila kwa kuwa natukana kupitia jamiiforums siwezi kujulikana sasa mwisho wake umefika...kucriticize ni kitu kimoja, kutukana ni kitu kingine.Tulikuwa tunawacheka wakorea kaskazini, naona ndiko tunakoelekea
Kusimamia sheria ni kutokujiamini? unashida upstairs.tunataka kuficha nn?kwnn serikali haijiamini imekuwa na uoga na watu wake?....vp tumeangalia hosp na disp zetu zina dawa zakutosha naona kuna kitu hakipo sawa vp huko mashuleni hali ikoje?kwnn tunahangaika kuzibiti uhuru wa habari kulikoni?hzo nguvu tungetumia kwnye masuala mengne
Ivi hili dishi linafikiri kila mtu alikuwepo enzi za nyerere sasa kama. Kwaiyo unafikiri kila mtu tz anamuadu nyerere kama baba wa taifa. Kwaiyo kufeli kwa nyerere miaka iyo basi tuendele kufeli. Naona wewe umevimbiwa ugali wa lumumbaHaya maswali ungemuuliza nyerere unaye muuta baba wa taifa leo...hospital kutokuwa na dawa hajaleta magufuli ilikuwepo tangu enzi za nyerere..ukiongelea shule shule zilikuwa nzuri wakati wa ukoloni tu baada ya hapo mliminywa akili mbona hamjasema miaka yote hiyo after all unadhani chadema ndio utakusaidia kitu since when selfish person will do good for you? Jiongeze uone na uapande wa pili wa coin...uhuru gani unataka enzi za nyerere mlikuwa na uhuru? Kwa kweli mna mashafu ya kupigwa vibao sio ya ku kiss....eti uhuru wa habari wachina wana uhuru wa habari mbona wako mbali sana unakusaidia nini nendeni mka fanye kazi mlijenge hilo taifa sio kusikiliza mange anafanya nini mwenzenu yuko kazini kuwavuruga
Nnaona nia yao ni kuziua kabisa. Kusema kweli sielewi hii serikali nnaona inataka kuua biashara zote binafsi maana mambo yao mengi sio kuwa yanajenga ila yanabomoa zaidiKwa mashariti haya,internet cafe zitakosa wateja na baadhi zitafungwa kama sio kuendeshwa kwa hasara.
Una uhakika na hiyo unayosema 5.5 ndiyo inamhusu?TUNYOOSHE BABA JESKA[emoji1317][emoji1317]
Ndio kwaaanza miaka miwili na nusu tu,bado miaka mi5 na nusu inakusubiria[emoji1321][emoji1321]
Duuu wewe kwa lugha ulioiandika si bora ungetumia kiswahili sasa umeishia darasa la ngapiKa mkoa kenyewe hata kikombe hakajai nenda kaangalie ramani ya nchi yako ndio uta salute walio wengi walio down to earth wasio kuwa na coraption na wema wai unajulikana na ndio maana mungu kawapa madini yote yenye thamanj ktk aridhi yao
Wewe ndiye fala wa mwisho unafikiri watu wakianza kuencript information zao hii serikali lazy ndio itafua dafu?Watu unafikiri wengi huenda kufanya uhalifu online kama wewe?Watu huenda kuangalia mfano matokeo ya mitihani ,kujaza fomu mbalbali online za visa,ajira ,kuagiza bidhaa nje au kusafirisha,mafomu ya biashara,nk nk Internet cafe zitaendelea tu kuwepo.Usidhani kila MTU hutumia internet cafe kuwasiliana na mange kimambi watu wanazitumia responsibly wewe ndio utakoma
Na sheria zipo kwa ajili yetu sote na ni wajibu wetu sote kuzitii, hakuna haki isokuwa na wajibu, hakuna asiyejua kuwa kutukana ni kosa la jinai, ni wajibu wa vyombo husika sasa kuwabaini na kuwafikisha mbele ya vyombo vya haki watuhumiwa, ni hatua nzuri sana kuliko kutufungia jamiiforums yetu sababu ya washenzi wachache wenye multiple accounts ambao kazi yao kutwa nzima ni kutukana tu.Ah wapi, tutabanana hapa hapa hadi hiyo mizigo ya ujinga muitue! Nchi yetu sote.
Lazima utakuwa unamiminywa hapo ulipo.Tulia dawa oongie vizuri
Kwa mashariti haya,internet cafe zitakosa wateja na baadhi zitafungwa kama sio kuendeshwa kwa hasara.