🤣🤣🤣🤣🤣Siyo kweli
Nakubaliana na wewe mkuu 100%.Pata pesa haya yote utakuwa nayo automatically
Mwanaume ataitwa handsome kwa wanawake anaotembea nao
Wewe hata kama unasura kama mbuzi make sure unagusa pisi kali tu
Huwezi kujiita handsome wakati hujawahi kumiliki pisi kali.Pisi kali zinajua taste zetu..
Unaweza kuwa mzuri lkn pisi zako za kawaida kawaida tu.
Mwanaume atapimwa uzuri wake kwa wanawake anaotembea nao sababu uhendisami wa mwanaume upo kwenye character yake sio muonekano...
Niongeze sauti au inatosha...
u handsome upo kwenye pesa weweMwanaume ataitwa handsome kwa wanawake anaotembea nao