Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,431
Tuhangaike kwanza na jiwe wetu halafu ndo tuanze kufatilia ya majiranini vema wakenya mkitusaidia tupate ukweli
Stone ageKweli Kenya ni Kiongozi EAC. VP wa Tanzania anaitwa aje?
kwa faida ya jumuiya ya Africa Mashariki endelea kufunguka mkuuAnaitwa Arap Mashamba, ukweli usemwe tu, huyu jamaa hata mtoto ambaye amezaliwa jana anafahamu vizuri kwamba ni fisadi kupindukia. Acha niachie hapo, nikifafanua zaidi wataanza kusema kwamba mimi ni mkabila.
Haha!kwa faida ya jumuiya ya Africa Mashariki endelea kufunguka mkuu
thank you sir12 Feb 2019
DP William Ruto's Weston land confession
Deputy President, William Ruto, has acknowledged that the land on which the Weston hotel stands, was acquired fraudulently, and that this was being reversed legally. The country's second in command, in an interview with the BBC's HARDTALK presenter, Steven Sackur, has insisted that he has been the only Kenyan politician subjected to a lifestyle audit in the public eye, while stating that the Jubilee government is keen on fighting corruption in the country, in order to realise the Big 4 agenda of development.
Source: NTV Kenya
Kweli Mkuu...Tuhangaike kwanza na jiwe wetu halafu ndo tuanze kufatilia ya majirani
Au unasemaje mdau
Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu kwa hakikisho la usalamaNaona wanaJamiiForums wa-Kenya halisi wamekimbia kuja kujadili ufisadi. Wengine wachache waliojitokeza wanasema wanaogopa wanasema lebo ya 'ukabila' itatumika hivyo hawataki kuchangia mawazo.
Tuwakumbushe ndugu zetu kuwa Jukwaa la JamiiForums ni salama, unaweza kujadili bila hofu kuwa utafuatiliwa au ID yako kuvuliwa 'mask' na kuwekwa hadharani.
Tayari wana-side zao. Wanaona wakisema chochote watajulikanaNaona wanaJamiiForums wa-Kenya halisi wamekimbia kuja kujadili ufisadi. Wengine wachache waliojitokeza wanasema wanaogopa wanasema lebo ya 'ukabila' itatumika hivyo hawataki kuchangia mawazo.
Tuwakumbushe ndugu zetu kuwa Jukwaa la JamiiForums ni salama, unaweza kujadili bila hofu kuwa utafuatiliwa au ID yako kuvuliwa 'mask' na kuwekwa hadharani.
Wewe jibu swali acha domo domoKweli Kenya ni Kiongozi EAC. VP wa Tanzania anaitwa aje?
Sio eti tuna 'sides' ila baada ya ile handshake ya rais U.K. na RAO Kenya kumekuwa na umoja wa aina yake, kwenye nyanja zote. Hakuna mkenya mida hii ambaye ana hamu ya kuona jahazi likuyumba yumba. Tafuta hiyo interview ya Hardtalk, utaona Hustler anavodai kwamba yeye pekee yake ndiye anayewindwa ila hakani madai hayo ya ufisadi kwa nguvu zake zote kama inavostahili. Yaani ni jipu hatari ambalo lazima litumbuliwe kwa umakini. Watch this space.